Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
Heeee,

Tafuta mtu Karibu anae bet akushauri.

Maana kama hilo ndio swali basi uzi utajaa kwa maswali yanayofuata.

Kubet sio siri tena,tafuta mtu akujuze mambo zaidi.

Ila vipigo vitakufanya u graduate ktk options za betting.
 
Kwakua fiorentina kanichania acha atoke tu lech naomben gori moja sasa tumalize[emoji28]
 
Back
Top Bottom