Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni kusaidiwa, kwann hii bet imewekwa lost na wakati option niliyoweka imetoaView attachment 2594501
ulimnyang'anya fiorentina shuti 9.5, alafu ukamtaka aongoze idadi ya shuti......
matokeo yake fiorentina kapiga shuti 17,
huyo mwenzake kapiga 9......

shuti za fiorentina zitakua (17-9.5) = 7.5 (tumeondoa hizo 9.5 ulizomnyang'anya kwenye bet yako),

ukiangalia hapo utaona huyo Poz ataongoza kwa idadi ya shuti (baada ya kuihusisha bet yako)
 
for the first time game ya man u haina kona 1st half[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],

niliwapa kona over 8.5 full time..... washachana huu mkeka dadeki
 
😢Dah, shukrani
 
Wamepata Corner Moja at First Half

Ila kama uliipa over 8.5 overall full time inaweza kutoa
 
Man U nyumbu kama nyumbu......[emoji24][emoji1785][emoji1785][emoji1785][emoji1785]
naichek game yao hapa sevilla wanakaba mpaka kivuli, ushindi sidhani kama utakuwepo labda wale wa x2 wanawaza kuambulia chochote
 
Back
Top Bottom