Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku nikimpasua KANJI ndio nashuka
Msiniulize nimepandaje juu,sitaki wageni

Screenshot_20230421-043626.png
 
Habari wadau?..
Jana ilikua siku yenye misukosuko mingi Ila tushukuru maana kuna codes zilitoa humu kutuokolea mitaji....

Kuna treni moja la odds 24 ilichana timu moja ya usiku wa manane.... Aisee!!!

Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom