Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau msiruke hii code Kuna pesaaa....ukieza chambua zako upite hvi usubrie muamala... SERIOUSLY [emoji123][emoji123][emoji123]
......na ukichambua tupia code uliyochambua ili turuke nayo!
 
Watu tunaoishi ughaibuni 1XBET ni nzuri sana kwetu coz ina option nyingi sana huko bongo mnabinywa sana kwenye options kiasi ambacho kupata faida inakuwa ngumu sana zaidi ni kupigwa vipigo vizito vizito yaani ukila mkeka mmoja unakuja kupigwa vipigo kumi mfululizo na huna pa kutokea...
 
Wakuu betpawa analimit sana stake sema isiwe kesi nimewandalia odds milioni mbili na laki tatu wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ipo siku yetu maana hata odds 1.01 pia huwa zinachananika kwenye singo bet


765F2C3 code ndo iyo wakulukulu betpawa
Msisahau kuedit ondoa behewa ambazo una wasi wasi nazo
 
Anaogopa kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…