Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi unaweza ukawa na mkosi na kampuni flani ya kubet au ni fikra p0t0fu tu... Kama ni kweli basi nadhani sportbety nina mkosi na0 sijawahi kula tangu nimeanza...nishaliwa kama 1m na ushenzi...
Sio kweli

Mkosi majina

Wengi tunaopenda kutumia Nicknames tata huwa tunapigwa mnooo.

Sasa wewe unaitwa MDIGOKHAN unategemea nini,yaani unalazimisha undugu kwa KANJI KHAN wakati wewe ni MGIRIAMA
 
Nimewashangaa sana vijana wa Kitanzania. Hii code jamaa kaweka hapa ina mechi zaidi ya 30. Nimejaribu kuweka 50,000 payout ni 300,000!!! Tujitahidi kujilipua tuwaze vitu vikubwa vikubwa.
Ua timu kubwa weka hela ya kawaida iki-tick unachukua mzigo wa uhakika.
Mimi nimeweka 10,000 code hii C69492A. Nimeua Newcastle, Barca ikikubali nabeba 38,000,000. TUWAZE VITU VIKUBWA.View attachment 2596951
Kweli mkuu, noma Sana
 
mazee ushauri hapa,
nataka niwape hawa direct win

pyramids 1&over 1.5,
usg win (belgium)
adana win (turkey)
glassgow rangers win
bha vs utd kona ov 8.5
newcastle spurs kona 8.5
galatasaray win

naombeni ushauri niondoe yupi nikabize yupi, nataka odds 4-5 hapa
 
Mamb0 ya SPORTBETY hay0 mamaee Hii kampuni nahama....
20230423_144100.jpg
 
Back
Top Bottom