Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu tunaoishi ughaibuni 1XBET ni nzuri sana kwetu coz ina option nyingi sana huko bongo mnabinywa sana kwenye options kiasi ambacho kupata faida inakuwa ngumu sana zaidi ni kupigwa vipigo vizito vizito yaani ukila mkeka mmoja unakuja kupigwa vipigo kumi mfululizo na huna pa kutokea...
Basi me naomba CODE leo nifute machozi kidogo
 
Kwa vipigo dhidi ya spurs jmn naombeni ushauri nichukue changu au nikaze?
IMG_3125.png
 
Back
Top Bottom