Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UPEPO WA MCHANA ULIKUA MBAYA SANA LEO.. NILITUMIA 16K , IMERUDI 9K , NIMELOSS KAMA 7K.. ITABIDI NITENGENEZE CODE ZA USIKU TUU NDIO TIMU NYINGI HUFUNGANA.. PROFIT YA JANA TULIYOIPATA KANJI KARUKA NAYO...

WE NEVER GIVE UP , WE TRY AGAIN AND AGAIN..

UKIACHA HIZI CODES NINAZOTUMA PIA HUA NAJARIBU MARKET NYINGINE OV 1.5 LEO IMETOA SANA
Screenshot_20230423-180638_SportyBet.jpg
 
Watu tunaoishi ughaibuni 1XBET ni nzuri sana kwetu coz ina option nyingi sana huko bongo mnabinywa sana kwenye options kiasi ambacho kupata faida inakuwa ngumu sana zaidi ni kupigwa vipigo vizito vizito yaani ukila mkeka mmoja unakuja kupigwa vipigo kumi mfululizo na huna pa kutokea...
Kama option gani ambayo huku haipo??
 
Basi bana si jana fc porto kanichania mkeka, nilimpa awin first half .


Game kwenye mkeka zilikuwa 15 yeye pekee kachana na ndio timu ya mwisho toka nafatilia mkeka mwanzo mwisho hakuna cashout niliyopewa sportybet

Leo nimeweka game idadi hiyo nashangaa game ya nne tu napewa cashout kazi ipo!.😀
 
Kwisha habari sasa , rasmi hakuna ninacho subiri kwake na yy hana anachosubiri kwangu yaani kiufupi kachukua ata kile kidogo changu🥹
Kanuni mwenye kidogo atapokonywa hata hicho alichonacho mwenye Vingi anaongezewa[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom