Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi unaweza ukawa na mkosi na kampuni flani ya kubet au ni fikra p0t0fu tu... Kama ni kweli basi nadhani sportbety nina mkosi na0 sijawahi kula tangu nimeanza...nishaliwa kama 1m na ushenzi...
Sportybet pita hivi

Mi kampuni mkosi ni 1xbet,Sportybet,Biko,

Ila kampuni ambazo ni gusa ule ni Betpawa na Betika na Pmbet,nahisi sijui ni Kwa sababu ya rangi ya kijani ya kampuni hizo
 
kuna code nimecopy humu mbili zimeshachanika, kuangalia nagundua aliweka double chance kwenye game za australia........

jamani australia hatuweki dc utakufa, kule ni magoli tu............
Pole kaka.. anza upyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ivi unaweza ukawa na mkosi na kampuni flani ya kubet au ni fikra p0t0fu tu... Kama ni kweli basi nadhani sportbety nina mkosi na0 sijawahi kula tangu nimeanza...nishaliwa kama 1m na ushenzi...
Ukiona hivyo. ..cheza game zinazoachana kwa siku or masaa ili uwe unaganya cash out
 
Ebu nielewesheni hii style ya betting maana mi naona kama vile utoto fulan hv

2+2-2-2+2+2-2-3=? au mi ndio sielewi
 
kuna code nimecopy humu mbili zimeshachanika, kuangalia nagundua aliweka double chance kwenye game za australia........

jamani australia hatuweki dc utakufa, kule ni magoli tu............
😂🤣Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…