Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,675
Baada ya benfica kunichania tren nimeona nife na roma...na kwel kashakufa moja huko maombi yenu wadau
Laki ngp mkuu mana kashafunga moja hukoAs roma nipeni maua yangu!.... Goli 1 tu!...
[emoji3] et "sijui kama usingizi utakuja"Kuna katimu kanaitwa Mjallby nilikadhamini kwa 2x..kamekula hela ya debe la mahindi..sijui kama usingizi utakuja!
Bado Roma kachana code 1...nilimhandcap 2... Nimebaki na code 3 tu code 3....mechi ya spoting ndio ya mwisho...2 zitakuwa ni uhakika matokeo yakisalia hivi...Sp akiongeza goli.. code zote 3 zinatikiLaki ngp mkuu mana kashafunga moja huko
Nilicashout code 2 za straight win KWA sporting kimkakati dk ya 89! Maana ndio zenye Salio la juu....na kuisacrifice code niliyoipa game yote over 1.5 full time,Bado Roma kachana code 1...nilimhandcap 2... Nimebaki na code 3 tu code 3....mechi ya spoting ndio ya mwisho...2 zitakuwa ni uhakika matokeo yakisalia hivi...Sp akiongeza goli.. code zote 3 zinatiki
Hii ndo gambling sasa, hongera LwivaNilicashout code 2 za straight win KWA sporting kimkakati dk ya 89! Maana ndio zenye Salio la juu....na kuisacrifise code niliyoipa game yote over 1.5 full time,
Ili ikitokea ndivyosivyo akasawazishiwa goli ama kuongeza bado nakula code ya tatu ....code zote 3 ✅✅✅🙏.
Kati ya 70,000 niliyopaswa kupata au kukosa ningekosa ningekaza....nimewaachia 14, na kubaki na 55+ tu...sio mbaya kwa leo
Kuna katimu kanaitwa Mjallby nilikadhamini kwa 2x..kamekula hela ya debe la mahindi..sijui kama usingizi utakuja!
Aiseee🤣Mrejesho:
Usingizi ulikuja bwana ila ndoto nilizoota zilikuwa tata..mara nimekutana na misukule, mara nimekutana na manyokanyoka..mara nimelima ila wamasai wameingiza ng'ombe shambani..yaani tafrani tupu.
Mkuu ukiamua kuachia code ww tengeneza mkeka achia code kuhusu option hakuna iliyo rahisi kama over 0.5 inachana mkeka itakua hiyoa Multigoals 1.3,sasa sana unaweza kustaajabu hiyo second half yakapatikana magoli 4+ au ikawa no goal...kikubwa ww tengeneza mkeka achia code hakuna lawama humu,anaelaumu atoe mikeka ambayo anawin kila sikuNAONA OPTION YA MULTIGOALS INATOA , VIPI TUKITENGENEZA CODES ZA MULTIGOAL 1-3 SECOND HALF