Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya benfica kunichania tren nimeona nife na roma...na kwel kashakufa moja huko maombi yenu wadau
 
A2E7E06

C763AD7

7FD5C7A

51E4401

08208A8C

TURUDI KWENYE ILE OPTION YETU TUONE UPEPO UPOJE , KWA HIZO CODE CHACHE ,
DRAW OR OVER 2.5 SPORTYBET
 
Halafu mtu anakulaumu kisa Code Yako imemchania mkeka.

Team kubwa na Ronaldo ndani
Dk 40 nzima watu wapo pungufu kwa Red card tena team ipo chini mnoo nafasi ya 13, mwezi February Al Nassr alimchapa 4 Bila zote Ronaldo

Leo kwenye Nusu Final chaliiiii

Heshim sana Codes za mwenzio,this is Betting ni Kazi ngum mnoo.

 
Laki ngp mkuu mana kashafunga moja huko
Bado Roma kachana code 1...nilimhandcap 2... Nimebaki na code 3 tu code 3....mechi ya spoting ndio ya mwisho...2 zitakuwa ni uhakika matokeo yakisalia hivi...Sp akiongeza goli.. code zote 3 zinatiki
 

Attachments

  • Screenshot_20230424-235303.png
    20 KB · Views: 15
Night code

064B016 | sportybet

tia chochote af tukutane kwa Wakala asubuhi sana kabla jua halijawa Kali

Mkamaria kukata tamaa ni mwiko.
 
Bado Roma kachana code 1...nilimhandcap 2... Nimebaki na code 3 tu code 3....mechi ya spoting ndio ya mwisho...2 zitakuwa ni uhakika matokeo yakisalia hivi...Sp akiongeza goli.. code zote 3 zinatiki
Nilicashout code 2 za straight win KWA sporting kimkakati dk ya 89! Maana ndio zenye Salio la juu....na kuisacrifice code niliyoipa game yote over 1.5 full time,

Ili ikitokea ndivyosivyo akasawazishiwa goli ama kuongeza bado nakula code ya tatu ....code zote 3 ✅✅✅🙏.

Kati ya 70,000 niliyopaswa kupata au kukosa ningekosa ningekaza....nimewaachia 14, na kubaki na 55+ tu...sio mbaya kwa leo
 

Attachments

  • Screenshot_20230425-001903.png
    23.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20230425-001840.png
    21.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20230425-001813.png
    21.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20230425-001726.png
    74.2 KB · Views: 17
Hii ndo gambling sasa, hongera Lwiva
 
Website ya meridianbet ni nzito sana kwenye ku browse , ku suffle kuchagua mikeka , inaweza tumia hata dakika 2 na nusu kuleta results..




Vip kuna njia ipi nzuri katika kutumia hii website ya meridianbet maana nimependa mpaka. Odds zao za bonus...
 
Kuna katimu kanaitwa Mjallby nilikadhamini kwa 2x..kamekula hela ya debe la mahindi..sijui kama usingizi utakuja!

Mrejesho:

Usingizi ulikuja bwana ila ndoto nilizoota zilikuwa tata..mara nimekutana na misukule, mara nimekutana na manyokanyoka..mara nimelima ila wamasai wameingiza ng'ombe shambani..yaani tafrani tupu.
 
NAONA OPTION YA MULTIGOALS INATOA , VIPI TUKITENGENEZA CODES ZA MULTIGOAL 1-3 SECOND HALF
Mkuu ukiamua kuachia code ww tengeneza mkeka achia code kuhusu option hakuna iliyo rahisi kama over 0.5 inachana mkeka itakua hiyoa Multigoals 1.3,sasa sana unaweza kustaajabu hiyo second half yakapatikana magoli 4+ au ikawa no goal...kikubwa ww tengeneza mkeka achia code hakuna lawama humu,anaelaumu atoe mikeka ambayo anawin kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…