Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa kauli yako umefanya watu watano wafate huo mkeka kwa matumaini😂😂😂😂😂
 
40E6213
Betpawa
Edited kidooooooogo !!
 
Bro hata Jana mzungu wa 4 umenihusu, zile booooom[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] cna hta moja
Ila huu wa Leo nimekagua nauona mneara wa kigoma uleeeeeeeee
Endelee kuchungulia huko kigoma si karibu😂😂😂 karibu kigoma wanayoiongea wao.
 

Mkuu hili tren mbona jipya sanaa au ndo yale mama aliyo agiza anyway acha nipande kwanza kabla siti hazija jaa
 
Toka 2021 nimekaa bila kubeti mwezi huu nikaona nirudi kundini Asee kipigo nilicho kutananacho sio kawaida. Pengine bahati yangu haipo huku nimeamua kutundika daluga. Kanji amekuwa mkatili.
Utarudi tu wewe
 
Mkamalia hii safari inaishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…