Vinci Dayot Upamecano
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 533
- 1,322
Barcelona mavi yaoo!!! Nilikuwa nalamba Laki sita na ushee usiku huu.
Kimkakati zaidi .....kama unastake pakubwa...stake code ya chini inayoishia na 6D halafu uitoe mechi ya obras...ni 75/100 Ili zibaki odds 2+ you'll be more safe hommieGoma la kimkakati kama lile la jana 3.5 odds
Hongera sana kiongozi leo kila mtu anacheka😁😁Ukiachana wa laki nne...pia kuna huu hii code nilitoa humu nikaweka mianne
NB
Tusizarau kodView attachment 2600964View attachment 2600965
Ninabahati mbaya na sportybet. Nilitaka tia 5k. Kila nikifanya deposit inazingua. Internal service errorKimkakati zaidi .....kama unastake pakubwa...stake code ya chini inayoishia na 6D halafu uitoe mechi ya obras...ni 75/100 Ili zibaki odds 2+ you'll be more safe hommie
Hata kesho ni siku...Ninabahati mbaya na sportybet. Nilitaka tia 5k. Kila nikifanya deposit inazingua. Internal service error
Asante. Nmepata ya kuwekea treni.maisha banaaaaMkuu BTTS ipo. Nabashiri
CS to be City 4:1 Arsenal at FT.
Leo naiona shughuli imeanza mapemaaa, code yako iko vizuri...![]()
Pole mzee, ukipata nguvu karibu tena. Mara hii angalia sana code unazochukua utazimia .Toka 2021 nimekaa bila kubeti mwezi huu nikaona nirudi kundini Asee kipigo nilicho kutananacho sio kawaida. Pengine bahati yangu haipo huku nimeamua kutundika daluga. Kanji amekuwa mkatili.
Chupa limeamka na chai au sio!? Code 1 Boooom 💥🏀,Chap Chupa linaamka na chai....au sio!?...
AEE9EB5 , DDBFE6D🏀 STAKE LOW!
Nakubali em weka hata sure oddsChupa limeamka na chai au sio!? Code 1 Boooom 💥🏀,
Code ya pili odds 6.5...ya players assists... Lebron kaniangusha asissst Moja tu... Kazidiwa hata na julias randle!? Na Mnyama wa assist na rebounds.... bam adebayo
There's no sure odds believe me...tunacheza na probability na kuujua mchezo ....kujua timu Gani inahitaji matokeo Gani, kwa kwa wakati upi... Na lazima iyapate! Afe referee namba1, au no 2...do or die trying....Nakubali em weka hata sure odds
Hongera sana mkuu. Mie sikuwa na mtaji wowote, but niliangalia kwa uzoefu tu kwamba City kwa hatua hii huwa hakuachi, na tishio kubwa kwa ubingwa wa city ilikuwa ni mechi yao na Arsenal. Kwa hiyo alikuwa anaingia kucheza bila mzaha wa aina yoyote ile na niliwaza kuwa ili awe safe ni lazima apige O3.5 kwa sababu na Arsenal nao uwezo wa kupiga O1.5 wanao pia kwa timu kubwa kama City. Huo ndio ulikuwa msingi wa ubashiri wangu, ingawa kwa kutimia kwake siwezi kujiita punter, ila bahati imechangia.🫡🫡🫡Asante. Nmepata ya kuwekea treni.maisha banaaaa
MKUU ULIWEKA MZIGO AU YALIKUWA MANENO TU[emoji1787][emoji1787]ACB28DC betpawa