Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kweli watu mmevurugwa ! Code mixer na SRL! Duh! Hahaha.. umetisha!...leo nataka kutembea na code za humu kipindi hiki niko nafanya upembuzi yakinifu wa mechi za leo!

Mechi ya City ntaikwepa kama ukoma!...

Nna sababu zangu yakinifu kabisa za kuiacha! Mechi ziko nyingi tu
Ha ha ha ha nasubir keka, nashukuru kwa code ya basket ball ya jana, imenipa mtaji wa kuanza nao leo
 
KWA KUA UPEPO SIO MZURI , VIPI TUKIJARIBU ROLLOVER.. ODDS ZISIZIDI 2 , ANZA NA BUKU


2EEB089
Screenshot_20230426-100757_SportyBet.jpg
 
Maafisa ubashiri game ikiwa hivi inakuwaje niliweja under 5.5 niliweka mechi sita zote zimetoa hii peke yake imekuwa hivi toka Jana watanilipa kweli
Screenshot_20230426-101430.jpg
 
Hizi ndio code mama...mother code. 75A6DCC(109 odds), 4FFEE5F(74 odds)....

Cheza uchezavyo., Rukaruka uwezavyo.... Ila... don't cross that line!...

Usitoke nje ya hii code, iwe either ni over 1.5,X2,1X.... Chaguo ni lako....

Niko katika kuzichakata sasa nilete cream ya odds 10, odds5, na odds 3....

Stay here.....
**********
Update!

First Edit..,.B0C031B odds21.
Second Edit.......F53A1B4 over 1.5
Third.....odds 10...E24ABF3C
Fourth.....F9D5B5 odds 8+...

Odds 5💪......!?
Odds 3......💪....!?

Tukutane baadae joo!......I'm done 4 today!
 
Back
Top Bottom