Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haina hiyo
Screenshot_20230425-232951.png
 
Hakuna kazi ngumu kama ku-edit betpawa hasa liwe train la timu nyingi maana betpawa ukifungua page wakati unashusha mkeka ukirudi kuchagua timu nyingine inaanza mwanzo.


Anyway kama timu ni chache ziandike pembeni na ligi / nchi husika alafu unakwenda kule unazitafuta kwa nchi alafu una-edit. Kama ni direct (normal) yaani WIN DRAW WIN ni simple tu, ukishaicopy code unakwenda kwenye "income game" unakua una scroli unakuwa unaziona zikiwa na zimepigwa tick ya kijani.
Sio kweli!
 
Wanagenzi naomba kutoa ushamba kidogo naona jumbe zote za jukwaani humu zaja gmail inbox nifanyaje zisije
 
Back
Top Bottom