Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Lege lege😂Legetafo kakomaa hataki treni liendelee na safari.
Lege lege😂Legetafo kakomaa hataki treni liendelee na safari.
Cadiz nae injury wachezaji saba kwa Madrid Wana kikosi Safi tu kasoro Huyo benzema tu, vini Jr, Rodrigo na Asensio wapo pia modrik na kroos🔥🔥Leo kuna pesa EPL
Madrid ana wachezaji 6 hawatakuwepo
Maana yake twende naye mazima au tutumie akili?Cadiz nae injury wachezaji saba kwa Madrid Wana kikosi Safi tu kasoro Huyo benzema tu, vini Jr, Rodrigo na Asensio wapi pia modrik na kroos[emoji91][emoji91]
Madrid ataforce ushindiMaana yake twende naye mazima au tutumie akili?
Naona hana chakupoteza ukitegemea ana fainali weekendMadrid ataforce ushindi
Ancellot mastermind😂🙌Naona hana chakupoteza ukitegemea ana fainali weekend
Hiyo mechi inafaa GGNaona hana chakupoteza ukitegemea ana fainali weekend
mwezi march nilikula laki saba kasoro buku, 699k kwa senti 64 sportybet Odds 15k, [emoji1] si shangai kabisaYaani betting ni utata mtupu. Juzi jamaa yangu kaweka 100 kachukua maodds makubwa Akala laki mbili na elfu themanini na moja ila sasa sie wazee wa kuzingatia tunapasuka haswa
Kashinda 1-0Memelodi katokaje uko
Namimi mkuu muhindi 100- 10Nawaaga rasmi. Mm na kubet basi [emoji119][emoji119]hadi sasa mhindi 5 mimi 0 [emoji22] inatosha[emoji119]