Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

DA3095C - bPAwa (Edit Muhimu) stake kidogo pesa nyingi unaweza kubahatika maana ni kiasi ambacho hakiumizi kichwa ukikosa

Angalizo - hizi sio zile za uhakika ukasema utaamka tajiri bali ni investment ya muda mrefu inayohitaji uvumilivu za uhakika tafuta odd 3 - 10 tia pesa
 
Unatakiwa kufanya analysis ya mechi kabla hujaweka, mamelod mpk sasa ana points 68 anaefuata ana 42 na ligi ndio imeisha hvyo, so tayari yeye ni bingwa anaesubiri kutangazwa tu, attention yao kwa sasa ni club bingwa so usitegemee wacheze jihadi, timu kama hii ukiipa ishinde utaliwa tu, mfno Burnley ni wa kufungwa na rangers tena home?? Burnley tayar ni bingwa.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
73F7FA0 - Twende kazi (betPawa) ,
Hizi una stake kati ya 20 - 100Tsh, M za kutosha zinakuja
Kwa siku nakuwa nawekaga sio chini ya beti 30 za kiasi hiki najua ipo siku tu (Max natumia kati ya 1,000/= mpaka 1,500/= au pungufu)

Nna magroup kadhaa wanatuma code ntajitahidi kuzitupia na humu maana mara kadhaa tunakosakosa kwa 1 au 2

Kuedit muhimu Maana mara zote lazima kuna vitimu vitaua inaweza ikatokea ndio hizo ambao umezitoa ukapiga pesa

Hii ndo mchezo napenda
 
B916939 - bPAwa (Edit Muhimu) stake kidogo pesa nyingi unaweza kubahatika maana ni kiasi ambacho hakiumizi kichwa ukikosa

Angalizo - hizi sio zile za uhakika ukasema utaamka tajiri bali ni investment ya muda mrefu inayohitaji uvumilivu za uhakika tafuta odd 3 - 10 tia pesa
 
Mambo haya kilamtu na ayazingatie ili awe salama na awe na furaha.

Betting ni mchezo kama michezo mingine. Kikubwa ni kuwa na nidhamu ya fedha katika mchezo huu.
Mchezo huu unatumia fedha pia ikitokea bahati mtu unakula ila ukuliwa hukasiriki na kumnunia aliyekupiga.
Kama kamari ni mchezo wa burudani kwako basi zingatia kiwango cha kubeti,stake normal. Fuata matreni kadri uwezavyo. Bonyeza bonyeza utakavyoo. Fuata odds mlima. Weka ngumu kumeza tega maajabu. Na mengne yanayofanana na hayo

Betting ni kazi kama kazi nyingine za kubahatisha. Yan unatoka nyumban mapema na kwenda kijiweni kutega kazi. Basi ukipata ndiyo furaha yako na familia yako
kama unatumia kamari kama.chanzo cha mapato tafuta mtaji. Chambua ligi. Jua timu na ligu husika.stake high kupata high profit. Usifuate tren la mechi 60 utapuyanga. Fanya na mengine kama hayooo


Kilamtu lazima atambue anacheza kamari kwa misingi ipi ili basi kule kufokeana na makasiriko dhidi ya makundi flan yapungue.

Kilamtu na ajue yupo upande upi wa betting.
Kama chanzo cha mapato
Ama
Starehe.

Kazi njema wakamaria wenzangu pia starehe njema wakamaria wenzangu
 
Timu zishachukua Ubingwa Bado Mnaendelea kuzipa Zishinde Hivi Hata wew Ungeweza KupambaniaKitu Ambacho Umeshakipata ?

NB: Kaeni Mbali na Hizi Timu

Mamelodi
Red Star Belgrade
Burnley
Leyton Orient
Napoli ( Huyu akishnda Jmoc)
Celtic
 
Aahaaaaa

Unamzungumzia Mawi!?
images (34).jpeg


Huyo dogo.
Naona alitaka kula mzigo
 
8C9A73E

6486AD6

- bPAwa (Edit Muhimu) stake kidogo pesa nyingi unaweza kubahatika maana ni kiasi ambacho hakiumizi kichwa ukikosa

Angalizo - hizi sio zile za uhakika ukasema utaamka tajiri bali ni investment ya muda mrefu inayohitaji uvumilivu za uhakika tafuta odd 3 - 10 tia pesa
 
Timu zishachukua Ubingwa Bado Mnaendelea kuzipa Zishinde Hivi Hata wew Ungeweza KupambaniaKitu Ambacho Umeshakipata ?

NB: Kaeni Mbali na Hizi Timu

Mamelodi
Red Star Belgrade
Burnley
Leyton Orient
Napoli ( Huyu akishnda Jmoc)
Celtic
Naomba niuscreenshot hii reply

Kwahiyo akishinda Jmosi anatangza ubingwa!?
 
Back
Top Bottom