Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna kazi ngumu kama ku-edit betpawa hasa liwe train la timu nyingi maana betpawa ukifungua page wakati unashusha mkeka ukirudi kuchagua timu nyingine inaanza mwanzo.


Anyway kama timu ni chache ziandike pembeni na ligi / nchi husika alafu unakwenda kule unazitafuta kwa nchi alafu una-edit. Kama ni direct (normal) yaani WIN DRAW WIN ni simple tu, ukishaicopy code unakwenda kwenye "income game" unakua una scroli unakuwa unaziona zikiwa na zimepigwa tick ya kijani.
Asante mkuu
 
nipo naandaa keka la familia apa, option ni double chance mechi 10, over 1.5 mechi 10, bookings mechi 5 na corners mechi 5.

inyeshe mvua, jua liwake kesho lazima kanji arudi kwao kulima pilipili.

Stay tuned.!
Leta code mkuu ..

Betpawa
 
Halafu anakuja mtu analaumuuu Codes za watu kuchana Mikeka.

Betting ni jinamizi la ajabu mnoo

Screenshot_20230425-213830.png
 
Back
Top Bottom