Namimi mkuu muhindi 100- 10
Aloo[emoji119][emoji119] nafutaa upuuzi wote inatosha [emoji119]mamelodi ndio wa mwsho kuniliza basi [emoji119][emoji119][emoji119] kwaherini ntawakumbuka nawatakia mafanikio ya kumpiga mhindi[emoji17][emoji17]
Namimi mkuu muhindi 100- 10
Kwani ulimpaje mkuu mbona kashinda vizuriAloo[emoji119][emoji119] nafutaa upuuzi wote inatosha [emoji119]mamelodi ndio wa mwsho kuniliza basi [emoji119][emoji119][emoji119] kwaherini ntawakumbuka nawatakia mafanikio ya kumpiga mhindi[emoji17][emoji17]
Kwani ulimpaje mkuu mbona kashinda vizuri
Yeye mwenyewe atoe au, ni kwa mechi nzima,1.5over
Yeye mwenyewe atoe au, ni kwa mechi nzima,
Pole sana mkuu tupo pamoja mi nae nimechaniwa nilibadirisha mwenyewe soko, nikatoa 1x nikaweka 1.5 dah!🤦Mechi nzima
Hongera kwa uamuzi uliochukua. Simamia uamuzi wako, achana na kauli za kukukatisha tamaa. Hii kitu inaharibu pesa sana.Aloo[emoji119][emoji119] nafutaa upuuzi wote inatosha [emoji119]mamelodi ndio wa mwsho kuniliza basi [emoji119][emoji119][emoji119] kwaherini ntawakumbuka nawatakia mafanikio ya kumpiga mhindi[emoji17][emoji17]
Wenzako tulishaapa hata juu ya makaburi ya mama zetu,ila Bado tukarudi kilingeniAloo[emoji119][emoji119] nafutaa upuuzi wote inatosha [emoji119]mamelodi ndio wa mwsho kuniliza basi [emoji119][emoji119][emoji119] kwaherini ntawakumbuka nawatakia mafanikio ya kumpiga mhindi[emoji17][emoji17]
Mamelodi alishachukua ubingwa kule Kwa Madina,hivyo shoo zake ni za aste aste1.5over
Nawaaga rasmi. Mm na kubet basi [emoji119][emoji119]hadi sasa mhindi 5 mimi 0 [emoji22] inatosha[emoji119]
Cash out tu mkuuIvi Aston villa atashinda dhidi ya Fulham
Kabaki peke yake nawaza cash out au nikomae
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huyo dogo kwenye avatar boya Sana.Kumamamamamammamamamammamamamamammamamamamamammamamamamamamammamamamamamamamammamamamakekekeek
Mwenye buku anitumie basi maana vipigo vimezidi
Unatakiwa kufanya analysis ya mechi kabla hujaweka, mamelod mpk sasa ana points 68 anaefuata ana 42 na ligi ndio imeisha hvyo, so tayari yeye ni bingwa anaesubiri kutangazwa tu, attention yao kwa sasa ni club bingwa so usitegemee wacheze jihadi, timu kama hii ukiipa ishinde utaliwa tu, mfno Burnley ni wa kufungwa na rangers tena home?? Burnley tayar ni bingwa.Aloo[emoji119][emoji119] nafutaa upuuzi wote inatosha [emoji119]mamelodi ndio wa mwsho kuniliza basi [emoji119][emoji119][emoji119] kwaherini ntawakumbuka nawatakia mafanikio ya kumpiga mhindi[emoji17][emoji17]
Jamaa wanabonyeza bonyeza tu bila kuchambua, ata Burnley ukimuona kwa sasa kaa nae mbali, tayar ni bingwaMamelodi alishachukua ubingwa kule Kwa Madina,hivyo shoo zake ni za aste aste
N