samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
Adelaide naye Adela tu [emoji35]
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Hongeraaa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Imaraaa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Waaaaa!!JITU BANDIA Nimepita na code zote za betpawa yani hapa nazima data nikiwasha account imenona
🙏JITU BANDIA Nimepita na code zote za betpawa yani hapa nazima data nikiwasha account imenona
Hapo inamaanisha ukubali kuwa timu zote mbili zita tie- zitadraw, yaani zitalingana idadi ya vikapu baada ya quata ya mwisho.....ama hapana...View attachment 2599250hiyo hapo mkuu
Nimekuelewa sana mkuu JITU BANDIA ubarikiwe 🙏🙏Hapo inamaanisha ukubali kuwa timu zote mbili zita tie- zitadraw, yaani zitalingana idadi ya vikapu baada ya quata ya mwisho.....ama hapana...
Kwenye kikapu ni nadra timu kutoka suluhu,
Ila sikushauri utumie hii option kuokoteza odds 0.5,06,
Timu kubwa huwa zinacheza kimkakati na draw zipo sana tu...
Unaweza kulia maana Najua lengo ni kustake high eti kwamba ni safe odds....
Nakushauri ikwepe kabisa hiyo option utakuja nikumbuka lately!
Match ya man u ni salama zaidi io over 0.5 ukimpa Tottenham....B387AAD betpawa marekebisho kidogo
Basi hapo GG ipoLeo kuna pesa EPL
Madrid ana wachezaji 6 hawatakuwepo
Kwa hiyo wanabaki watano uwanjani jumla na kipa?Leo kuna pesa EPL
Madrid ana wachezaji 6 hawatakuwepo
Kipa hatakuwepo, Benzema,Kwa hiyo wanabaki watano uwanjani jumla na kipa?
Naunga mkono hojaKama umeamua kubeti fanya upembuzi wa kina tafuta match moja yenye odd mlima ipe ukiliwa umeliwa ukipata fresh ndio kamari hiyo
sababu za kutokuwepo?Kipa hatakuwepo, Benzema,
Ila hadi jioni kikosi kamili kitakuwa kimetoka