MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 944
- 1,590
Una hela za kuchezeaWakulungwa hivi hakuna probability ya arsenal kupata goli 2 kweli kwenye hii mechi!? Akapindua historia yake ya kinyonge KWA city!?...
Odds zinavutia... But ni njia kuelekeza hela yako makaburini!
Nasacrifice pesa kidogo nampa goli 2 over 1.5 odds 3.4... nampa magoli sio ushindi!....ikipotea sawa tu hii ni game
Utapataje hela bila ku'risk muache ajaribu bahati yake...Una hela za kuchezea
Kurisk ni kustake more than 100k vinginevyo ni burudani tuUtapataje hela bila ku'risk muache ajaribu bahati yake...
Mzee mazombi tu picha haipo weka code wakulungwaKwa mwenye pesa nzuri aweke hii
0B0540DMii sio mchoyo wa code naomba tuchambue huu mkeka kama vipi piteni nao ata kwa buku kama mimi 15 izo apo odds 587
546DC9B
Mbona code ipo mzee hiyo hapo 156148Mzee mazombi tu picha haipo weka code wakulungwa
Hii ni sahihi kuanzia mwezi may naanza stake 500K mzee yaani afe kipa afe beki hii lazima. Kwa week nacheza mara moja.Kurisk ni kustake more than 100k vinginevyo ni burudani tu