The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,618
- 11,380
Hapa umetumia akili kubwaaz....Baada ya vipigo kua vingi nime ona ni bora nianze ku stake 10k kwa odds 2 kila siku na match zisi zidi 3
Hapa umetumia akili kubwaaz....Baada ya vipigo kua vingi nime ona ni bora nianze ku stake 10k kwa odds 2 kila siku na match zisi zidi 3
Jichanganye uliwe kichwa.Hii ni sahihi kuanza may naanza stake 500K mzee
Shusha codesBaada ya vipigo kua vingi nime ona ni bora nianze ku stake 10k kwa odds 2 kila siku na match zisi zidi 3
Mkuu mikeka yako yote unayoshea humu huwa inatiki ila ni ngumu kumeza balaa, wacha nijikune kichwa tuone
Taanza weekend hizi match za kati kati ya wiki zina tia shaka.ta share code na mrejesho tuone .ma tren yatakua plan BShusha codes
Nataka nijilipue nimpe city na portoTaanza weekend hizi match za kati kati ya wiki zina tia shaka.ta share code na mrejesho tuone .ma tren yatakua plan B
8C6B6E1 betpawa odds 2 match 3Nataka nijilipue nimpe city na porto
[emoji1787][emoji1787] Machondela mnafiki sana wewe. Kilasiku humu umekuwa kiongozi mkuu wa kumpiga vita bigboi na kumuongelea mbovu kuhusu code zake. Leo hii wakusema eti usitususe?? Upinde wewe kweli hufai hata kulumagia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].
KILA la kheri, ila ukumbuke kuwa na kidumu!......kitakuokoa ndoo ya Maji ikidondoka bahati mbayaNataka nijilipue nimpe city na porto
Wacha nijilipue mkuu, potelea pote [emoji40]
Wacha kwanza nisikilizie upepo mkuu, siku mbaya kwa wakamaria huwa inaonekana jioniKILA la kheri, ila ukumbuke kuwa na kidumu!......kitakuokoa ndoo ya Maji ikidondoka bahati mbaya
Imekaa njema sana hii...Pia ina tips zake za kueleweka..![]()
Soccer Predictions tips bets - Apps on Google Play
Football results predictions app. FT, HT, BTS, GOALS.play.google.com
Kuna hii app ina saidia kujua history ya team match zilizo pita na form yake kwa urahisi