Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo kila mtu kashinda acha na me nishare kangu ila msisahau kunipa kampun ambazo mtu unaweza bet mzg mkubwa zaid ya 1m kwa team moja hii kuweka timu nyingi ni kujipa stress
IMG_0483.png
 
simpleboylife_ inaitajika roho ngumu sana kufuata code zako ingawa zinatiki. Acha kwanza niendelee kujikuna kichwa
VIPIGO VIMENIFANYA NISIOGOPE OPTIONS.. Option yoyote ambayo by analysis naona inaweza toa matokeo ninayoyahitaji na roho ikanituma huwa naruka nayo bila kujali ODDS.

NB: Kama ulivyosema., Inahitajika Roho ngumu sana. Unaeza jikuta unapiga trip za kwenda Haja kila dakika😹 (jokes)

𝙰𝚕𝚠𝚊𝚢𝚜 𝚜𝚝𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚑𝚊𝚝 𝚢𝚘𝚞 𝚌𝚊𝚗 𝚊𝚏𝚏𝚘𝚛𝚍 𝚝𝚘 𝚕𝚘𝚜𝚎
 
Hahahaaha;! Una maambo lakini kama kunaukweli fulani hivi.....mm niliigopa chelsea...si unakumbuka nilikwambia!?
 
Back
Top Bottom