Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,527
- 3,650
Ushatengeneza pesa hata kabla ya HassanAlly kupigwa goli
Ushatengeneza pesa hata kabla ya HassanAlly kupigwa goli
Maono yako yaeshimiwe mkuuNimeweka direct win Kwa city, liva na zamaleck nimetia kilo. Maombi yenu nalala nitaamka saa sita. Either kilio au 700K. 🏃🏃🏃
AahaaaaaaaKubet konyoooooo
Hii kama pesa ila uoga sasaView attachment 2600826
SportybetHii kampun gan? Hii ndo nataka unajilipua na city mara moja liwalo na liwe weka hata 10m utulie ikiliwa basi
MKuu unashida ganiii?
Uliaga sasa huku kuchungulia chungulia mn watafutaaa?
Kweli kamari ni hataeiii mtu umepgwa aroato[emoji1787][emoji1787]