Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
yah mkuu...unajua namna wanavyocheza Man City na Arsenal wakianza mpira ni lazma warudishe kwa kipa...chunguza hiyoo kaka!! So walivyokutana wenyewe siku ile nikajua yoyote atakayeanza lazma arudishe kwa kipa...nikajilipuaHaka kaoption huwa unakapenda sana mkuu. Niliona pia kwa man city na arsenal ulikacheza
Kajipeleka haswaaLeo mwizi kaingia kituoni
View attachment 2613906
Du noma sana sio kwa kujilipua huku aseeLeo mwizi kaingia kituoni
View attachment 2613906
Timu moja ikichana huwa inauma Sana yani machungu yake basi tuGundu linaendeleaView attachment 2613988
Kama jana nimeumia sana kuna kitimu kimoja kimeninyima pesa daah nimejisikia ovyo sanaTimu moja ikichana huwa inauma Sana yani machungu yake basi tu
Hawa market ipi ni nzuri kuwaingia?Leo kuna mechi English Championship
Hawa wanaeleke mwisho hivyo ni magoli tuuHawa market ipi ni nzuri kuwaingia?
tatizo mnacheza option ambazo hamzijui....hii imechan vp na kipind cha kwanza corner zilikuw 3-3 hii ya psg ya kwanzView attachment 2613938
Daah sas mbona wengine tukifata odds kubwa n los tu [emoji26] hap nishapigwa mshahal wote Hadi nawaza naishije aseeNILIWAAMBIA LENGO LANGU ODDS KUBWA TUSHINDE HELA NYINGI KWA KUWEKA HELA KIDOGO MKAANZA KUNIPONDA
WEEKEND BOOM
View attachment 2614104
View attachment 2614106
View attachment 2614107
Tuokoe kaka, Muhindi sio wa kuonewa huruma.NILIWAAMBIA LENGO LANGU ODDS KUBWA TUSHINDE HELA NYINGI KWA KUWEKA HELA KIDOGO MKAANZA KUNIPONDA
WEEKEND BOOM
View attachment 2614104
View attachment 2614106
View attachment 2614107