stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Rangers na mpuuzi mwenzie wamegoma kuongeza goli
Stupid sana
Stupid sana
BOOOOOOOOM ,Dortmund Over 1.5
Malmo Over 1.5
Torino over 1.5
WEKA NYUMBA
Nimejikuta nacheka tu mkuu, kweli Kuna watu mmeamua kupambana na kanji😃😃"Medical team to enter the pitch" ... Pick "Yes"
Hii option inatoa sana na inapatikana 1xbet na helabet. Chagua mechi ambazo ni 50 kwa 50 ambazo zina migongano mingi. Usichukue mechi ya upande mmoja kama jana City na Leeds hakuna daktari alieingia uwanjani kutibu. Leo mechi za ufaransa zote zimetoa hiyo option. View attachment 2613556
Dah kweli BOOOOOM 😄, maana imeandikwa kwa hasira sana hii baada ya mambo kuwa sio kwa mikeka kadhaaBOOOOOOOOM ,
Hatari sanaaDah kweli BOOOOOM [emoji1], maana imeandikwa kwa hasira sana hii baada ya mambo kuwa sio kwa mikeka kadhaa
BOOOOOOOOM ,
Nimeweka kiongozi,vp niutupie hapa uone nilichopata jpili ya leo???Umeweka?
Nimeweka kiongozi,vp niutupie hapa uone nilichopata jpili ya leo???
wangese hao niliwaomba goli pia wameharibu mkeka wangu, zingine zilitik,Basel unampa dhamana apate gori moja ila yy anaamua akuletee zawadi wa red cards tatu kudadadeki
wangese hao niliwaomba goli pia wameharibu mkeka wangu, zingine zilitik,
mkeka wa mwisho mchawi napoli na pimbi mwenzake, nimewaomba over 1.5 naona wanakata mauno tu...
comeback ya kibabe sana,Wakuitwa lyon majeshiii[emoji1320][emoji736]
Kuna kajamaa huwa kananiona nabet sana kakaniforce nimdownloadie na kumuunga app ya betpawa(hata kujisajili kalishindwa🤣)wangese hao niliwaomba goli pia wameharibu mkeka wangu, zingine zilitik,
mkeka wa mwisho mchawi napoli na pimbi mwenzake, nimewaomba over 1.5 naona wanakata mauno tu...
Huku kujifanya mchambuzi sana ndo ustake sometime ni usenge wa kupoteza bundle tu🤣Kuna kajamaa huwa kananiona nabet sana kakaniforce nimdownloadie na kumuunga app ya betpawa(hata kujisajili kalishindwa🤣)
Sasa yeye mtindo wake kanabonyeza bonyeza direct win tu hajuagi market nyingine, kanachukua odd za 1.50 mpaka 2.00, chini na juu ya hapo hakachukui
Leo kametengeneza slip nne zote zimetick kila slip 100k
Mimi mwalimu mtu slip zote chali🤣🤣🤣🤣
Kipo ninanicheka ovyo hapa natamani nikirukie vichwa🤣