donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
EBC8541 betpawa
inategemeaEti wakuu kwa uzoefu wako kipi bora,kutumia app au web kwenye hizi kampuni za kamari?
Ucopy... Utengeneze... Usukeee... Uigilizieeee... Uibieeee yaniii Ni VIPIGOOOOO TUUU[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi naona vipigo vinaendelea tu hakuna ahueni wala nini daah , zamani nilikuwa najitegenezea mikeka yangu kwa kila wiki , nisingeliweza kumaliza wiki bila kula mara 2 au mara tatu . Lkn leo hii duuh napigwa daily sijui hizi mikeka zakucopy ndo shida .
Mimi najiuliza haya maisha yakubeti watakaofanikiwa niwachache , wengine tutaishia kuota ndotoni nakuwasomesha watoto wa Kanji.Ucopy... Utengeneze... Usukeee... Uigilizieeee... Uibieeee yaniii Ni VIPIGOOOOO TUUU[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wanangu wa bonus kuna market ya basket nimeifuma tukiichukua tukachanganya football kadhaa treni linakuwa mwake
Market inatoa sana ni ngumu kuchana
Tukichukia over 0.5 za footbal 20 tukachanganya ba za basket 30 hatukosi bonus ya maanaView attachment 2613516
Hapo unaclick NO
Muhimu wasitoe draw tu
Baadhi ya nchi basket kutoa draw ni ngumu saba
Weka timu 10 alafu utapata majibuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2613516
Hapo unaclick NO
Muhimu wasitoe draw tu
Baadhi ya nchi basket kutoa draw ni ngumu saba
Newcastle win or draw ,Natafuta odds 1.7 tu Nina 50k hapa ...
Hapo wameandika After regular time...??View attachment 2613516
Hapo unaclick NO
Muhimu wasitoe draw tu
Baadhi ya nchi basket kutoa draw ni ngumu saba
Nishaitumia sana kwenye matreniWeka timu 10 alafu utapata majibuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wasiende OTHapo wameandika After regular time...??
Noma Sana mkuumikeka inayeyuka kama barafu....
mikeka 20 unaingiza unkutana na whats cashout..?..... yote hii ni sababu ya vistake vya buku, buku mbili.....