Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanji hatoboi Leo shubaaamit..!!
1:Nimemtoboatoboa macho kwa keka la fouls tupu
2:nikamkata ulimi kwa keka la Kona pekee
3:nimemnyoa para kwa kisoda kwa keka la on targets pekee
4: macho yke + ulimi + utumbo na nikamkata kidole cha Kati kwa hyo mixer na keka mixer + pilipili
Cjui atakimbilia wapi
Asiporud na chakalabauti atanieleza amekujaje bongo
hahahahahah! namkubali sana mhindi hajawahi kwenda ligi na mkamalia yeyote yule akashindwa

Ni mwendo wa visu vya tumbo tu.
 
Tunamjaribu unga tela> code FC2141
Sportybet
Screenshot_20230507-000019_1.jpg
 
Niliona nijarbu option ya under kwenye tren naona ime tembea hadi uyo boya mmoja alivyo choma nme rebet nione zilizo baki nazo zme toa 8 bado 6..mna onaje tuki anza kutembea umu kwenye tren
1840284599.jpg
303110140.jpg
352907136.jpg
 
DEFDE3A odds 13 betpawa hii ndo ile aliye uza cheni bandia kalipwa pesa feki[emoji1320][emoji1320][emoji736]
 
Keka la Taifa... 998A4B odds 141....gawa code...zitoke 4 au 5...you may change the markets if you wish...kuna timu 8 humu za straight win... Sina muda hapa...Nna muda wa kugawa na kufanya final edit Ili ni stake
 
Back
Top Bottom