othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Ajax na az wanataka kuwa wajinga.
Mimi leo wamefunga cashout wamekuja fungua bado dakika 1, ile niseme cashout ikakataa, hapo na meli yangu ikazama kwa mikeka miwili. Wangese sana, naona kuna haja ya kuwa na kikao cha dharura wote tuchague kampuni moja yenye vigezo angalauSPORTBETY bhana timu z0te zimetik kasoro moja na hi0 moja ina0ng0za mbili bila na ni dakika ya 73 ila Cash out wameifunga Haha...
Wawe wajinga mara ya pili mkuu, tayari cha mbwa hichoAjax na az wanataka kuwa wajinga.
Dakika ya 83 nikacashout fasta ilibidi nile million 18 na ilitakiwa ifunge goli 1 tu cha ajabu option ilikuwepo kutoa laki 4 na nusu na nilitumia 2000 tu kubet.Yani nimegundua dakika zinavyoenda ndio cashout inapungua kama team inaenda kuaribu mkekaAjax na az wanataka kuwa wajinga.
Kudos[emoji123]Dakika ya 83 nikacashout fasta ilibidi nile million 18 na ilitakiwa ifunge goli 1 tu cha ajabu option ilikuwepo kutoa laki 4 na nusu na nilitumia 2000 tu kubet.Yani nimegundua dakika zinavyoenda ndio cashout inapungua kama team inaenda kuaribu mkeka
Kudos[emoji123]
Kampuni Gani Hio? Huo ni wizi hata kama dakika ya 83 aisee!! Hii mechi mpaka dakika ya 80 draw ilikua na 1.65, mkuu ficha details leta screenshot hizi hesabu kwangu zimegoma! Dakika ya 83 cashout wamekupa 1/40 na unatafuta 1+ mechi nzima??? Wezi haoDakika ya 83 nikacashout fasta ilibidi nile million 18 na ilitakiwa ifunge goli 1 tu cha ajabu option ilikuwepo kutoa laki 4 na nusu na nilitumia 2000 tu kubet.Yani nimegundua dakika zinavyoenda ndio cashout inapungua kama team inaenda kuaribu mkeka
Poa mkuu [emoji123]Mkuu kesho tujaribu tena lkn hii league ya romania haitufai sisi wajasiriamali
Daah pole yko,
umempig ngp mkuuNilikuwa nakula nikiwa na sportpesa tena kwa option ya direct win pekee
Nikapata parimatch nikakuta ina option kibao nikahamia kule sijawah kula two weeks
Leo nimerud sportepsa yangu na kula mikeka miwili
Nalifuta papprimatch konyo
Mkuu angalau umempigamo. Haina shidaLiverpool Why why why why....
View attachment 2612707
Pole sana
Hongera sana mkuuJumapili imekuwa njema kwangu kwa buku tu...
View attachment 2612638