Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,856
- 7,059
86C3A9A bet pawa EDIT TRENI HILO
Mzee sio mbaya 290 si habaDhaaa jamani leo nimeumia sana yaani mkeka wangu ulikua una 3.9m nimeweka 50k sasa baada ya besiktas kufungwa nikaogopa alivyo chomoa tu nika cash out afu timu zieshinda zote jamani moyo unaniuma sana wakamaria
Hayajakukuta tu kwenye cash out nao wanazingua sanaNawakubali sana Betway….hawana mbambamba
Ushaur wadauuuuView attachment 2612852[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ushaur wadauuuuUshaur wadauuuuView attachment 2612852View attachment 2612854
Mpumbavu sana uyu kanichania mkeka wangu nimekosa ela ya supu asubui hiiOver 2.5. Ajax kweli jamenii mhhhhhh weeeeee jinga sana
Kafanya jumapili yangu iwe mbaya fala huyoMpumbavu sana uyu kanichania mkeka wangu nimekosa ela ya supu asubui hii
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Vp mkuu Wana cash out ya uhakikaNawakubali sana Betway….hawana mbambamba
Treni tamu sana hili..napita nalo km lilivyo.86C3A9A bet pawa EDIT TRENI HILO
[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430] hapa nimeelewa [emoji1434]200+ odds-sportybet
1C2CD7D
EDIT & STAKE.
Duu mkuu we noma odds za kushiba, we twanga mwingine tu mkuu huwezi jua,View attachment 2612957Tamaa mbaya nilikua na odds95 tayari nikaanza kujiongezea nitajirike huku roho haimtamani ajax ila dau nitalopata nalitamani matokeo ndo hayo
Code iko wapi?Kanji hatoboi Leo shubaaamit..!!
1:Nimemtoboatoboa macho kwa keka la fouls tupu
2:nikamkata ulimi kwa keka la Kona pekee
3:nimemnyoa para kwa kisoda kwa keka la on targets pekee
4: macho yke + ulimi + utumbo na nikamkata kidole cha Kati kwa hyo mixer na keka mixer + pilipili
Cjui atakimbilia wapi
Asiporud na chakalabauti atanieleza amekujaje bongo