Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

3/3
0066 17-06 22:00 Spain-Turkey
Total Goals2-4
1.66
0032 17-06 16:00 Italy-Sweden
Total Goals0-3
1.11
0035 17-06 19:00 Czech Rep.-Croatia
Total Goals0-3
1.13

Total odd2.08
 
Chukua unazoweza
Italy vs sweden... 1
Czech repulblic vs croatia...x2 or 2.5under
Lindome GIF vs assyriska BK...2.5over
Eskslistuna city vs smedby AB...2.5over
Spain vs turkey....1x
Balestier khalsa fc vs tampines rovers fc..x2
Liepajas metalurgs vs fc mettaln...1
 
Mie kupumzika naweza...uwa nakaa ata miezi 3 ila napita hapa tu... sasa jana nikatafuta Option ambaya niliona ni vigumu sana kuliwa....Option ya mchezaji kutoka Benchi then aje kufunga nikatia 300,000....***** Vardy anamisifa ya kijinga akatia Kambani sasa napumzika tenaaaa
MKUU HIYO OPTION YA MCHEZAJI KUTOKA BENCHI AJE KUFUNGA IKO BETING COMPANY GANI
 
Mm nazungumzia corners...shoots ni ngumu kidogo...na hizo corners nimezicheza sana kwenye euro nimeona zinalipa kwa kweli kuliko option yeyote kwangu..Jana pekee ndio mechi ya Ukraine ilikuwa na corners chache 5..ila nilicheza live Ireland waongoze corners 1st half ikatokea...Japo hakuna option utakayokula kila siku..haipo
Umesoma nilichoandika au umejibu ulichohisi!!!!! Hamna sehemu niliyoongelea corners, kona zinajulikana .... ila nimeongelea mashuti tu...sijaongelea corners mkuu.....
 
Umesoma nilichoandika au umejibu ulichohisi!!!!! Hamna sehemu niliyoongelea corners, kona zinajulikana .... ila nimeongelea mashuti tu...sijaongelea corners mkuu.....
Ulichosema cheza nione ndio maana nikakujibu kwa maoni yangu nimeona option ya uafadhali jampo sio kusema ndio ya mfululizo ni corners
 
  • Friday 17. June 16:00
    Italy vs Sweden
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 2
  • Friday 17. June 19:00
    Czech Republic vs Croatia
    Match Result Half Time
    Bet: X
    Odds: 1.98
  • Friday 17. June 20:00
    Aarhus Fremad vs HIK Hellerup
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.94
-----------------------------
Total Odds = 7.68
 
Back
Top Bottom