MKUU HIYO OPTION YA MCHEZAJI KUTOKA BENCHI AJE KUFUNGA IKO BETING COMPANY GANIMie kupumzika naweza...uwa nakaa ata miezi 3 ila napita hapa tu... sasa jana nikatafuta Option ambaya niliona ni vigumu sana kuliwa....Option ya mchezaji kutoka Benchi then aje kufunga nikatia 300,000....***** Vardy anamisifa ya kijinga akatia Kambani sasa napumzika tenaaaa
MKUU HIYO OPTION YA MCHEZAJI KUTOKA BENCHI AJE KUFUNGA IKO BETING COMPANY GANI
Mbona wako hewan mkuu
Italy win
Spain win
Peru 2+
Czech 2+
MERIDIAN NDO M BET AU NI COMPANY 2 TOFAUTIMeridian
Inaitwa substitute to score
Kampuni tofauti hizo...M-bet hawana options nyingi kiasi hicho..meridian & primier bet ndio wanazoMERIDIAN NDO M BET AU NI COMPANY 2 TOFAUTI
mh karibu.Italy watashinda,Croatia watashinda na Hispania pia watashinda
Umesoma nilichoandika au umejibu ulichohisi!!!!! Hamna sehemu niliyoongelea corners, kona zinajulikana .... ila nimeongelea mashuti tu...sijaongelea corners mkuu.....Mm nazungumzia corners...shoots ni ngumu kidogo...na hizo corners nimezicheza sana kwenye euro nimeona zinalipa kwa kweli kuliko option yeyote kwangu..Jana pekee ndio mechi ya Ukraine ilikuwa na corners chache 5..ila nilicheza live Ireland waongoze corners 1st half ikatokea...Japo hakuna option utakayokula kila siku..haipo
Italy watashinda,Croatia watashinda na Hispania pia watashinda
Ulichosema cheza nione ndio maana nikakujibu kwa maoni yangu nimeona option ya uafadhali jampo sio kusema ndio ya mfululizo ni cornersUmesoma nilichoandika au umejibu ulichohisi!!!!! Hamna sehemu niliyoongelea corners, kona zinajulikana .... ila nimeongelea mashuti tu...sijaongelea corners mkuu.....