Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka niweke game zote zilizobak 0-3 but nashindwa kuipata hiyo option kufunga timu hizo nipo meridian online betting
Naomba msaada wadau
 

Hapo kwenye draw hapana Czech anashinda iyo game
 
Msaada hapa hivi under 0:5 ni kwamba lipatikane goli 0-1 au lisipatikane kabisa?
 
Sawa ya URO ni kuuchezea magoli APO kanjubah lazma akae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…