Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo game ni nyingi lakini mpaka sasa naona maruweruwe tu muhindi keshanipa KO za kutosha msaada jamani odds 4 tu...
 
Mawazo yenu wadau nataka nijilipue vya kutosha timu za Brazili zote over 1.5 na Argentina over 1.5,mawazo plz!
 
mimi nilideposite kweny account yng y Premierbetting kwa mara ya kwanz ila nkashangaa ela haijaingia na baada ya siku kupita nkarudishiwa kwnye M-pesa yngu sasa sijui hawa mifumo yao ikoje?? ama ntumie kampuni gani nzuri ya kubet online??
 
Ulikosea ku deposit
 
Mawazo yenu wadau nataka nijilipue vya kutosha timu za Brazili zote over 1.5 na Argentina over 1.5,mawazo plz!
Mkuu Tulia chini fanya uchaguzi mzuri, Hakuna mahali panaponi let down kama ligi ya Brazil na Argentina, kuna time time inaweza ikawa na odd hata 10 na ikatoa sare ya bilabila na timu yenye odd ndogo
 
Asante sana mkuu nikwel hata timu iliyokojuu SAA nyinginezo unakuta anakamuliwa na kitimu cha chin BT ngoja nifate ushauli wa Rose Muhando.
 
Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…