Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo
Unataka kuingiza nini kwenye Tigo?
Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo
Unataka kuingiza nini kwenye Tigo?
Unakwama wapi?Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo
Unakwama wapi?
Sioni option ya Kuingiza kupitia huduma za simuUnakwama wapi?
Dada Nyani Ngabu nakuomba ukafanye kazi wale mabibi wa kizungu wagomvi sana utarudishwa bongo paspo mafao yakoKasema imekwama kwenye Tigo...
Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo
Kasome maelezo mkuu kweny website yao, yanaeleweka mbona.
Note; Namba ya Meridian 170066...
Kumb namba( Ni Akaunti ID unayoTumiwa kweny Email yako after Registration)
Mpesa only.
Sioni option ya Kuingiza kupitia huduma za simu
Asante sana mkuu bt nina maswali mawili au matatu
unatuma pesa kwenye no yao ya 170066 thn naingiza no niliyotumiwa kwenye usajili wangu baada ya hapo ntakua tayari niko read kumfilisi muhindi?
Dada Nyani Ngabu nenda kaoshe wazee wa kizungu mabodi Saizi acha niongee na wanaume wenzanguHuna option ya kuingiza? Si uiname iingie vizuri...we vipi wewe
Dada Nyani Ngabu nenda kaoshe wazee wa kizungu mabodi Saizi acha niongee na wanaume wenzangu
OK mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] muhiindi kumla kazi sna aiseeYaap mkuu ukishafanya hivyo,Kazi inakuwa kwako tu..kuLOG IN kwa Email yako na Email password yako...na kumla Muhiindi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..
Karibu tusali kwa Portugal.
Odds 4 tupuwakuu tusaidiane odd nne tu za usiku tupate walua sadaka kesho
Osasuno Double Chance
Hungary Double Chance
Vasco Da Gamma Win
CRB Under 3.5
Bet Won.