Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba msaada jinsi ya kuingiza pesa meridian kupitia huduma za simu mfano m pesa or Tigo

Kasome maelezo mkuu kweny website yao, yanaeleweka mbona.

Note; Namba ya Meridian 170066...
Kumb namba( Ni Akaunti ID unayoTumiwa kweny Email yako after Registration)
Mpesa only.
 
Kasome maelezo mkuu kweny website yao, yanaeleweka mbona.

Note; Namba ya Meridian 170066...
Kumb namba( Ni Akaunti ID unayoTumiwa kweny Email yako after Registration)
Mpesa only.

Asante sana mkuu bt nina maswali mawili au matatu

unatuma pesa kwenye no yao ya 170066 thn naingiza no niliyotumiwa kwenye usajili wangu baada ya hapo ntakua tayari niko read kumfilisi muhindi?
 
Asante sana mkuu bt nina maswali mawili au matatu

unatuma pesa kwenye no yao ya 170066 thn naingiza no niliyotumiwa kwenye usajili wangu baada ya hapo ntakua tayari niko read kumfilisi muhindi?

Yaap mkuu ukishafanya hivyo,Kazi inakuwa kwako tu..kuLOG IN kwa Email yako na Email password yako...na kumla Muhiindi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..

Karibu tusali kwa Portugal.
 
Dada Nyani Ngabu nenda kaoshe wazee wa kizungu mabodi Saizi acha niongee na wanaume wenzangu

Haya ngoja nikuache wakutongoze vizuri bila kiwingu changu....

Ila usisahau kuinama ili iingie vizuri...
 
Yaap mkuu ukishafanya hivyo,Kazi inakuwa kwako tu..kuLOG IN kwa Email yako na Email password yako...na kumla Muhiindi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..

Karibu tusali kwa Portugal.
OK mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] muhiindi kumla kazi sna aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…