Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Mkuu vasco da gama kashaloa kimoja na game inaendelea hii won umeitoa wapi?Bet Won.
Fuata maelekezo.Sioni option ya Kuingiza kupitia huduma za simu
Tuko pamoja. Nilivyoona penalty nikaanza kuchekelea kumbe kichapo hakikwepeki.Duh mikeka mitatu nimechana leo hii siku ni gundu
Mkuu vasco da gama kashaloa kimoja na game inaendelea hii won umeitoa wapi?
Tatizo odds zake zinakuwa 1.03 unaona bora ukacheze mdako kuliko kubeti milioni ili upate elfu thelathini na bado risk ya kuliwa iko pale pale.Hii euro inanifunza mengi hizi timu kubwa ni kuziwekea double chance win or draw sio za kuzipa ushindi wa moja kwa moja hata kama wapinzani wao wamepewa 100 odds
Acha uongo won?Bet Won.
Osasuno Double Chance
Hungary Double Chance
Vasco Da Gamma Win
CRB Under 3.5
yea nne tuOdds 4 tupu
Pole mkuu.[emoji22][emoji22][emoji22] Laivu Kiongozi,nilikuwa sijamwona Da Gamma....Daah! Kaharibu sherehe yangu, daaah! Kwel ng'ombe wa masikini hazai! Hhhahahahah
Mimi mwenyewe Vasco nilimuaminPole mkuu.
Hongera zako mkuuGood job Argentina bet won,,Hla wakuu nimejifunza kitu kmwel mpira ni dk90,nilizpa timu tatu za Brazil over 1.5 ,dk70 moja ikatik ya pili DK ya 90 ikapata penalt ikascore ,ya tatu had DK ya 83 ni 0-0 ya 84 ikascore 1 hd dk90 ikawa 0-1dk za nyongeza 94 ikascore la pili,em fikilia nilkua na prussure ya kiwango gan maana mtaj niliweka kilo7.27500 na return after tax M1.577119.80,ikwa nimebak na Brazil kushtuka usingizin nkakuta half time 3-0 haaaaaa nikapumua Bet won ,asante Rose Muhando woga wako umaskin wako.
Wapigie utasaidiwamsaada...... nimesahau password yangu ya mkekabet nimejaribu mara kadhaa haikubali.
nimetuma sms ya neno PIN kama wanavyoshauri na sipati feedbak siku ya tatu sasa...
kibaya kuna pesa nilikuwa nimeweka.
namna gani nitarestore password? msaada