Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana mkuu. Yaani unaanza kujilaumu kwa nini hata ulimuweka.
 
Cleansheet maana'ke timu husika isifungwe goli, mfano Arsenal 2-0 Chelsea ... inamaana Arsenal wana cleansheet (haikufungwa goli hata moja)
Mkuu Nashukuru Kwa Elimu Maana Naona Kama Wameondoa 1Y&2Y wameweka clean sheet,
 
Betting ...France vs Swiss corners mpaka dk 22 -7 bet won


hivi hiyo option inakuwa na odds ngapi? maana naona hii game ya France vs Switzerland ina kona za kutosha. Nafkiri mpk HT zilikuwa zaidi ya 12
 
hivi hiyo option inakuwa na odds ngapi? maana naona hii game ya France vs Switzerland ina kona za kutosha. Nafkiri mpk HT zilikuwa zaidi ya 12
Kwenye half time
Mara nyingi kwa kona 4.5 =1.76---1.86
5.5=2.14---2.43
6.5=2.70---
Inategemea na mechi..
Full time corners 8.5=1.50----
9.5---1.86
Inategemea na mechi kwangu naona ni option afadhali kwani Mara nyingi sio zotee huwezi kosa kona kuanzia 4..
IPO saana Primier bet sio mechi zote
 


OK asante sn kwa ufafanuzi, Chief
 
Yanga Atapata goli moja leo. Bet over 2.5 goals. Mm nipo likizo hadi ijumaa wki hii.
 
Muhindi ni ms3n93 sana. Jamaa yangu katiki timu 12 amle m3 Romania kachana peke yake. Yan unajikuta unaandaa mahitaji ya kununua kesho alafu wachezaji wanacheza makidamakida..
 
Alaniwe france.alaniwe france alaniwe france


France nafkiri kwa kuwa walijua wameshaqualify ndo maana kwanza kocha alibadili kikosi sana. Kante alimweka pembeni na kumwanzisha Cabaye. Payet & Matuidi waliingia baadae muda umeshaenda. Giroud njee ...
Tulijichanganya sn kumpa ushindi wa moja kwa moja, maana Switzerland lazima wangekaza kujihakikishia kufuzu pia. Tungewapa magoli (under 2.5) ilikuwa mwake.
 
watu mnamitaji ya kufa mtu afu mnakosa odds za uhakika

hebu piga hesabu tangu umeanza kubet umepoteza kiasi gani? sasa ungezikusanya zote hizo ukapata 2odds ungekua na sh ngapi? haya chukueni hizi na usitake buku ikuzalishie mamilioni weka elfu kumi upate kumi nyingine kila siku siku saba za wiki utakua na sh. ngap? hehehehheh mchezo hautaki hasira
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-20-08-53-51.png
    35.8 KB · Views: 43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…