Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Duh pole sana
Hivi unakutana na msaliti km huyu sijui unajiskiaje hakyanani ... ameniharibia sn weekend huyu daaaah 😡😡 ...
Walihitaji waongeze goli moja tu nipate kilo 4.5 nimeyaacha majembe kibao ambayo yametoa 2+ nikamwacha huyu mpuuuzi (halafu alikuwa na odds ndogo mxiiiiiiiiiiiuuu).
View attachment 358113
Mdau hii unakuwa safe kama Sub ni kaingia Beki au Kiungo.... Akiingia striker inabidi ubane kende kwa kiwango cha PhD.....
Duh pole sana
Niko naweka pesa pia inazingua nlidhani ni pekeangu.Hivi primier bet leo wanatatizo la kuweka na kutoa pesa???anayejua
Niko naweka pesa pia inazingua nlidhani ni pekeangu.
![]()
NdioooooMsaada jamani hii optioni wasipofungana ina maana ndo nimeliwa?
Tatizo ni system ya Mpesa haifanyi kazi ndio maana wameongelea third party ambao ni vodacomSio premier tu hadi mkeka naona inasumbua na hii ndo sms walonijibu
**************
Pole na samahani kwa Usumbufu kuna Tatizo kwenye Mitandao na pesa hazionekani, kwahiyo tunaomba uvumilivu wako tunafanyika kazi tatizo hili kwa sasa,
kwa msaada zaidi wasiliana na Huduma kwa wateja
0758606197
Asante
karibu Mkekabet
Iko poa sana mkuu![]()
Hapo vepe Wadau
Mbona mie premier baadae ilikubali lakini mpaka saizi haijaingia?Tatizo ni system ya Mpesa haifanyi kazi ndio maana wameongelea third party ambao ni vodacom
mkuu usiseme hvyo siku 3 kabla nimesheza hiyo option ya sab asifunge tena nimeweka mechi 2 tu kw odd ya 1.5 laki ili nipate elf 50 huwezi amini hazikutoa nikarudia tena haikutoa,bahati nasibu nibahati nasibu tuwatu mnamitaji ya kufa mtu afu mnakosa odds za uhakika
hebu piga hesabu tangu umeanza kubet umepoteza kiasi gani? sasa ungezikusanya zote hizo ukapata 2odds ungekua na sh ngapi? haya chukueni hizi na usitake buku ikuzalishie mamilioni weka elfu kumi upate kumi nyingine kila siku siku saba za wiki utakua na sh. ngap? hehehehheh mchezo hautaki hasira