Chana mkeka mkuu
Hizo ni options kwenye mkekabet ... tafsiri yake ni hii kwenye green highlighted texts.
- Monday 20. June 22:00
Slovakia vs England
Results Total Goals 2.5
Bet: 2U (Away team ashinde na total goals ziwe Under 2.5)
Odds: 3- Monday 20. June 22:00
Russia vs Wales
Total Goals/Both Teams to Score 3.5
Bet: NU (No both to score, magoli yawe Under 3.5)
Odds: 1.65
Ukitaka kuwin England wape ushindi wa handicap 2+England come on...
Slovakia vs England
Bet draw
Odd 3.10
Bila Shaka ni Dinamo MinskDo! Mi Kuna kitim li
kimoja Cha Beralus kmenialibia mkeka wangu Sina hamu!
Imebidi tu nicheke kwa sauti ya 4..... Odds ni kitu gani!!!!??? Mdau odds ni hizi points 1.45 , 2.01, wanazopewa timuhizi Odds ni kitu gani?na unazipataje?
bet: nu ni nini?
bet: 2u ni nini?
***Imebidi tu nicheke kwa sauti ya 4..... Odds ni kitu gani!!!!??? Mdau odds ni hizi points 1.45 , 2.01, wanazopewa timu
Sijasema ujinga...ndio maana nkakujibu......hivyo vinyotanyota kama ni tusi basi mwenyewe kabla sijasahau***
kuuliza si ujinga ndugu/
Bet wonSlovakia vs England
Bet draw
Odd 3.10
Basi ngoja nitoke hivi leo ...
------------------------------------------
- Tuesday 21. June 19:00
Northern Ireland vs Germany
Over/Under Full time 2.5
Bet: U
Odds: 1.82- Tuesday 21. June 19:00
Ukraine vs Poland
Over/Under Full time 2.5
Bet: U
Odds: 1.54- Tuesday 21. June 22:00
Croatia vs Spain
Over/Under Full time 2.5
Bet: U
Odds: 1.44- Tuesday 21. June 22:00
Czech Republic vs Turkey
Over/Under Full time 2.5
Bet: U
Odds: 1.59
Total Odds = 6.42
shida ni voda mdau....Hawa premier leo wanasumbua kuwithdraw hela kwenye a/c. mwisho wa siku watanitia majaribuni bureee. Washindwe kabisa.
mkeka mzuri huo buddy, sema mvaa kibwaya hakosekani hapo. Unaweza ukakuta wachezaji wa benchi wa ujerumani wakaleta sifa za magoli.
Hahaha ... Chief hili kundi ni gumu sana, leo timu zote zitakaza ... sitegemei kuona vikosi vya pili au wachezaji wa benchi kwenye mechi za hili kundi. Germany, Poland & N.Ireland wote wanahitaji ushindi kijihakikishia kusonga mbele. Ukraine pia hatakubali kuondoka kwenye mashindano bila hata point moja = hakuna anayependa kuonekana kibonde. Kwa hiyo kuna mawili, either tushuhudie magoli mengi (yani GG) ama magoli machache.
Mimi nimechagua magoli machache kutokana na trend ya mechi zilizopita.
View attachment 358524