Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mdau hii unakuwa safe kama Sub ni kaingia Beki au Kiungo.... Akiingia striker inabidi ubane kende kwa kiwango cha PhD.....
hii option nilikuwa aisheza sana na nimegundua risk yake ni kubwa kumbuka ktk mechi moja lazima kuna sabu 6 na katika wachezaji 20 uwanjani probability ya sabu 6 moja kupata goli ni kubwa sana labda hiyo mechi iwe ngumu sana ndio hii option utaifurahia.ni bora uweke no redcard kuliko hii option
 
Hapa vipi wadau ...

  • Monday 20. June 22:00
    Slovakia vs England
    Results Total Goals 2.5
    Bet: 2U
    Odds: 3
  • Monday 20. June 22:00
    Russia vs Wales
    Total Goals/Both Teams to Score 3.5
    Bet: NU
    Odds: 1.65
-------------------------------
Total Odds = 4.95
 
hizi Odds ni kitu gani?na unazipataje?
bet: nu ni nini?
bet: 2u ni nini?

Hizo ni options kwenye mkekabet ... tafsiri yake ni hii kwenye green highlighted texts.

  • Monday 20. June 22:00
    Slovakia vs England
    Results Total Goals 2.5
    Bet: 2U (Away team ashinde na total goals ziwe Under 2.5)
    Odds: 3
  • Monday 20. June 22:00
    Russia vs Wales
    Total Goals/Both Teams to Score 3.5
    Bet: NU (No both to score, magoli yawe Under 3.5)

Mkekabet inakubali kuweka pesa? nimeweka meridian na premier mpaka saizi hakuna kitu.
 
Kaka wales mmh nahis hata akifungwa lazima amuonje mRussia

Kwa hiyo hapo kuna kufungana au sio mkuu? hii mechi hata mm ni kama siielewi elewi hivi. England naona wanaweza kumpiga Slovakia 1 au 2 bila ... akina Sturridge wapenda sifa sn wale. Ngoja niendelee kujishauri kabla sijatupia.

My prediction:

Russia 0-1 Wales
Slovakia 0-2 England
 
Do! Mi Kuna kitim li
kimoja Cha Beralus kmenialibia mkeka wangu Sina hamu!
 
Kwa hiyo hapo kuna kufungana au sio mkuu? hii mechi hata mm ni kama siielewi elewi hivi. England naona wanaweza kumpiga Slovakia 1 au 2 bila ... akina Sturridge wapenda sifa sn wale. Ngoja niendelee kujishauri kabla sijatupia.

My prediction:

Russia 0-1 Wales
Slovakia 0-2 England
Slovakia sio kibonde tahadhari ichuliwe haswa...
Mitandao imezingua kama kawaida Corners
First half over 4.5
Or ft over 9.5
 
Kwa hiyo hapo kuna kufungana au sio mkuu? hii mechi hata mm ni kama siielewi elewi hivi. England naona wanaweza kumpiga Slovakia 1 au 2 bila ... akina Sturridge wapenda sifa sn wale. Ngoja niendelee kujishauri kabla sijatupia.

My prediction:

Russia 0-1 Wales
Slovakia 0-2 England
Wales tayari 1
 
najaribu kutengeneza odd 2 amaizing.
Slovakia v England BOTH TEAM TO SCORE 1ST HALF (NO) ODD 1.11
Russia v Wales 1-10 MINUTES X odd 1.12
Botafogo SP v Guaratingueta SP OVER 1.5 goals odd 1.16
Umeaa FC v IFK Luleaa OVER 1.5 GOALS ODD 1.17
Landskrona Bois v KSF Prespa Birlik OVER 1.5 GOALS ODD 1.23

Total oods 2.08
NB, mm nipo off hadi ijumaa. So kwa anayependa kujilipua aangalie kama itamfaa.

daah, imebidi nicheke tu. hawa wales kidogo wauchane huu mkeka. Kweli ni full amaizing
 
Back
Top Bottom