Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Sweden na Italy!!??Wadau ushauri
Sweden na Itary vipi??
Nataka kuweka 100k
Sweden na Italy!!??Wadau ushauri
Sweden na Itary vipi??
Nataka kuweka 100k
Wa kusoma wewe ni nourma. Hiyo option ni nzuri kwali. Hapo sioni ni namna gani Austria watatoka. Wakijitahidi sare, mzigo unarudi.....nimekusomaNahitaji Iceland ashinde niliweka laki tano nile M1.2 naona anaongoza, akidroo narudishiwa hela
Umetishadaah, kabla sijajilipua 200k ili nimpe dogo shuleni. nilitest hivi kujiliwaza tu. View attachment 359052
hawa osijek washachana mkeka. niliweka mkeka mchepuko wa buku moja kiutaniutani umesoma 300k pekeyao ndio wamegoma kutoa magoli.
hawa osijek washachana mkeka. niliweka mkeka mchepuko wa buku moja kiutaniutani umesoma 300k pekeyao ndio wamegoma kutoa magoli.
Mue mnatipia hiyo michepuko na ss tuchepukieohhh my God. Osijek wametoa Y. woyooooooooooooooooo Bet won.
nimekosea jukwaaakili mbovu bwana
Hii siku ya Leo siwezi kuisahau. Ireland kapata goli la ushindi na mpira umekwishaMaombi yenu nimeweka Kofi ya nyumbaView attachment 359050
Biashara imeisha, hongera sana.Maombi yenu nimeweka Kofi ya nyumbaView attachment 359050
Iceland....hongeraHii siku ya Leo siwezi kuisahau. Ireland kapata goli la ushindi na mpira umekwisha