Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hawa osijek washachana mkeka. niliweka mkeka mchepuko wa buku moja kiutaniutani umesoma 300k pekeyao ndio wamegoma kutoa magoli.
 
Hongereni sn Wa Kusoma & Bologna, naona leo mmempiga Kanjibah mtonyo wa kutosha ... mi nimeshuhudia mikeka yote ikipukutika km matawi ya mti ... kisa mazoea ya magoli machache ya EURO ... grrrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…