Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hamstad vs varnamo Y
Lahti vs Sjk Y
Haugang vs warriors Y
Geylang vs Home utd Y
Odd~7.74
 
Mpesa inasumbua kweli nikituma hela kwenye akaunt ya meridian hazifiki na perimier voda wametoa kambisa mnafanyaje wakuu kuweka hela
 
Mchina wangu hafungui CLEVERTIPS,niambieni leo anasemaje wapendwa tusafirie nyota yake.

cc.Mtoto wa nzi
 
Kanji bah Jana katushika pabaya ngoja tujiandae kwa revenge.
 
Buddy FC Astana leo nimemuona yupo uwanjani. Nipe desa nimpe win au Y amaizing.


FC Astana, nawakubali sn hawa jamaa ... kwa sababu hiyo game ni ngumu sn, ukiwapa double chance x2 au 2+ watatoa. Hawajawahi kuniangusha
 
FC Astana, nawakubali sn hawa jamaa ... kwa sababu hiyo game ni ngumu sn, ukiwapa double chance x2 au 2+ watatoa. Hawajawahi kuniangusha
Kairat sio timu ya kitoto nashauri tupia 4+
 
Kairat sio timu ya kitoto nashauri tupia 4+
Mechi ngumu hiyo, double chance iko sawa kwa Astana sababu ya odds, mala ya mwisho Astana alifungwa so hatakubali kufungwa tena hasa katika kipindi hiki ambacho yuko kwenye form, magoli hayawezi kuzidi mawili.
 
Mechi ngumu hiyo, double chance iko sawa kwa Astana sababu ya odds, mala ya mwisho Astana alifungwa so hatakubali kufungwa tena hasa katika kipindi hiki ambacho yuko kwenye form, magoli hayawezi kuzidi mawili.


FC Astana sikumbuki mara ya mwisho alifungwa lini bro ... mechi ya mwisho alidraw 1-1. Hawa jamaa wana consistency ya ajabu sn, labda leo waniprove wrong (kwa kufungwa).

Last 5 games ... hiyo ya mwisho aliyodraw walicheza tar 19/6 (J'pili)

 
Waliwafunga kwenye super cup mwezi March ndo maana nikasema leo hawatakubali kufungwa tena na vile sasa hivi wako vyema so double chance ni pesa.
 
jana tukasubiri Utupe zá sweden2
 
jana tukasubiri Utupe zá sweden2


Daah sorry mkuu ... nlijua mshatupiamo ! ... leo ngoja nijaribu habati kwa style hii maana mtaji ulishakata.

  • Thursday 23. June 16:00
    GIF Sundsvall vs Oerebro SK
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.52
  • Thursday 23. June 19:00
    SK Slavia Prague vs FK Ludogorets
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.66
  • Thursday 23. June 19:00
    Maccabi Tel Aviv vs Paksi FC
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.60
  • Thursday 23. June 15:00
    Hougang United FC vs Warriors FC
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.58
  • Thursday 23. June 17:00
    Kairat Almaty vs FC Astana
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: U
    Odds: 1.57
---------------------------
Total odds = 10.01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…