Mbona huo mkeka wako haufunguki Chief? urushe tena tudese ... km kufa tufe wote ... heheheheheh
Mkeka bet hawajaweka mechi za FINLAND,kuna hela ipo kwa HJK HELSINKI,gg
Hahaaaaaa! Kama kufa tufe wote duh!Basi nimeiona ... all the best Chief ! ... mimi leo nadunduliza. Stake mwisho 20K
Hahaaaaaa! Kama kufa tufe wote duh!
Buddy Jana umeniudhi unaweka ma timu mengi husikii ushauri yaani
Iyo hapana aisee, ni heri mkacheza magoli under 2.5 kuliko wote wafunge, wenyeji wako na the best strikers na pia wageni ndo timu yenye ulinzi mzuri kuliko zote kwenye ligi, ni mechi ngumu, wekeni magoli au wageni wasifungwe na hiyo ndio pesa.Umejuaje kaka, yan ndio nawaza niweke stake kiasi gani.
Hahaaaaaa! Kama kufa tufe wote duh!
Buddy Jana umeniudhi unaweka ma timu mengi husikii ushauri yaani
At least 3
"At least 3" ina maana kuanzia timu 3 kuendelea au ulimaanisha "at most 3" ... teh teh te
meridianMKUU HIYO OPTION YA MCHEZAJI KUTOKA BENCHI AJE KUFUNGA IKO BETING COMPANY GANI
kucheza final score hapana mkuu
Hapa hautokosa timu mbili au tatu.
kucheza final score hapana mkuu
Premier bet wameshikilia mtaji wangu tangia tar 7 mwezi huu. Timu 20 kati ya 21 zimeshinda. Mechi moja haina maelezo labda haikuchezwa, utaratibu wao ukoje? Wakikaa miezi mingapi ndio wanarudisha hela au kukupa ushindi?
Nenda kwenye term and condition zao..kwenye website yaoPremier bet wameshikilia mtaji wangu tangia tar 7 mwezi huu. Timu 20 kati ya 21 zimeshinda. Mechi moja haina maelezo labda haikuchezwa, utaratibu wao ukoje? Wakikaa miezi mingapi ndio wanarudisha hela au kukupa ushindi?
Kilichonikuta Leo siwezi kurudia kucheza direct winHahahaha ... mkuu si unajua tumeshalogwaa na Kanjibah, yani kusahau asili ni ngumu hatariii. Ni kama ww uliapa kutocheza direct wins lkn naona unatupia tena. Teh teh te
Ule mkeka nliuweka kuokoa jahazi baada ya mikeka mama kufa yote. Jana Kanjibah kabaki na 80K yangu (mikeka mi2) ... mxiuuuuuu
Kilichonikuta Leo siwezi kurudia kucheza direct win