Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukrani mkuu hapa nilichukua 2 tu
 
Leta timu mkuu, yani mi uo mkeka nimeufata halafu kwenye uyo mchawi sijui ikaweje tu sikumuwekaa, ndo mana nkawa nasema bet almost won
 
Ahsante!!!! Mm niliweka mbili mbili zaidi ya mbili sitaki kabisaaaa! Hivyo mmoja huyo mjinga kasepa nao
 
Leta timu mkuu, yani mi uo mkeka nimeufata halafu kwenye uyo mchawi sijui ikaweje tu sikumuwekaa, ndo mana nkawa nasema bet almost won


Hahahaha .. kwa hiyo umemla Kanjibah? huwa naskia vibaya sana tukikosa wote, bora wengine mumpige shwaiiiiiiiiiin huyu.
 
Hii ni kazi, Mimi Leo nimekuiga ila nikaenda hivi.
1. Shinnik Yorroslav 2+
2. Guangzhogh Ever 2+
3. South Melbourne win
4. Oakleigh cannon 1+ First half
5. Pascoe vale 1+ First half
6. Chongiqg lifan 1+ second half

Odd 3.2
Stake 100,000
Shukrani mkuu hapa nilichukua 3 tu
 
Hahahaha .. kwa hiyo umemla Kanjibah? huwa naskia vibaya sana tukikosa wote, bora wengine mumpige shwaiiiiiiiiiin huyu.
Hahaha nimemla mkuu, eti timu ilipobaki moja ambayo tayari ilikua inaendelea na wameshatoa 3+ akawa ananiletea option ya kunitamanisha nifanye turbo payouts ili wa -reduce odds
 
#Hatukomi #IpoSiku

Najaribu tena ... mtaji umegoma kabisa kujiboost. Mkeka wangu wa pili na wa mwisho kwa leo. Isiwe tabu

  • Friday 24. June 22:15
    Huginn vs Leiknir F
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.57
  • Friday 24. June 22:15
    UMF Grindavik vs UMF Selfoss
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.48
  • Friday 24. June 21:00
    Fram Reykjavik vs Leiknir Reykjavik
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.58
  • Friday 24. June 21:15
    Shelbourne Dublin vs Waterford United
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.52
  • Friday 24. June 21:45
    Sligo Rovers vs Bray Wanderers
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.50
  • Friday 24. June 21:45
    Dundalk vs ST Patricks Athletic
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.23
  • Friday 24. June 21:45
    Derry City vs Wexford Youths
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.23
  • Friday 24. June 18:30
    Sarpsborg 08 vs Molde FK
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.59
---------------------------------
Total Odds = 20.13
 
Mchana huu nimepigwa elfu 50 mkuu.
Nimeweka 3+ timu 5 moja tu ndo imegoma.
Ngoja nikufuate walau nirudishe hasara kidogo.

Maana Guangzhou fc kaondoka na laki 6 hivi kwa kutopatikana goli moja tu.
 
Huyu Jamaa Hakomi,,,,bro Dada Ulimkosa,,,hzo Jero Jero Si Ungekuwa Unatupia Kwenye Mpesa Yangu
 
Nachagua 3 natupia 50k
 
nmetupia hzi mkuu kutoka ktk hyo list
 
Wakuu Mechi Ikiwa Interupted Na Kuvuchika Na Ile Timu Uliyobet Ishinde Hadi Mda Mchezo Unavunjika Ilikuwa Imefungwa Nakuwa Nimepoteza Au?
 
Ngoja tujilipue wote mkuu
 
Persija Jakarta v Sriwijaya FC
sriwijaya fc double chance 1.73
hawa sriwijaya wameruhusu goli 3 mechi saba, hivyo option ni double chance au under 2.5 goals mm binafsi nimejilipua double chance.
Wadau mechi hii umekua abandoned dk ya 90. Surmaiya akiongoza, mkeka umechanika au inakuaje. Niliweka 50k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…