Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hongera sana , euphoric state ya kushinda hadi nmeisahau ni kunyooshwa hadi bhasiii...
kawaida mkuu, jana niliingia mkekabet nikakuta game moja ina odd kidogo nikasema niweke 4800, kuja kuchek nimeweka 48000 stake na ikapigwa, maumivu balaa ila mara nyngne tunamuotea kidogo kidogo mkuu fuc
 
dah..kipindi cha mpito hiki watu huwa wanaliwa kupindukia.. haimaanishi hatujui kuwa kucheza kipindi hiki ni risk sana, tunajua ila kuacha imekuwa ngumu tu (tutafanyaje sasa).. wengine tunavamia kila league mpk league zingne zinaitwa j-league kama tumelogwa vile (ee bwana utusaidie).. subira yavuta heri lakini kwetu imekuwa bet haraka-haraka ili heri ivutikie kibindoni (ee bwana utuokoe).. mwezi august umekuwa mbali sana..
hahahaaaa hatari sana
 
Lo@dinV asante kwa kunielewesha. Meridian wamenipa odd 1 hvyo wamepunguza mpunga toka 120 had 85000, sio mbaya 7bu nilijua nimechana. Ngoja niwasubiri premier nao maana kuna mechi iliaghirishwa dk ya 90 jana.
 
Dah wa maskini hakika hazai..... Najua nimeamka na kamtaji lol..... Niliwapa NO BOTH TEAM TO SCORE afu criciuma katoa 1-1 peke yake ....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-25-07-29-23.png
    Screenshot_2016-06-25-07-29-23.png
    30.3 KB · Views: 31
Balcatta - Sorrento Y ODD 1.33
Subiaco AFC - ECU Joondalup Y ODD 1.4
total odd 1.83
Jilipue kidogo maana mpira hautabiriki alaf leo mechi nyingi.
 
Nataka kucheza mechi zote za China,Japan na Korea U 4.5,ushauri hapo tafadhali
 
Back
Top Bottom