Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thanx buddy & kisu cha ngariba,sema tabu kumjua mchawi.


Hahaha ... hapo ni kazi kubwa sn aisee, kumjua mchawi. Hizi Club friendlies nyingi sn zinatoa 2+/3+ ... lkn napo kuna wachawi km kawa
 
Dah wa maskini hakika hazai..... Najua nimeamka na kamtaji lol..... Niliwapa NO BOTH TEAM TO SCORE afu criciuma katoa 1-1 peke yake ....


Ayayayayaaaa ... daah pole sn kk ! mitimu mingine km imetumwa vilee
 
aisee budy odds 2 kwa leo.


... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.

Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....

  • Saturday 25. June 13:00
    Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
    Double Chance Full Time
    Bet: 1X
    Odds: 1.42
  • Saturday 25. June 13:00
    Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.65
--------------------------------------
Total Odds = 2.34
 
Au unaweza ukaongeza na huyu ...

  • Saturday 25. June 12:00
    Suwon Samsung Bluewings vs Jeju United
    Double Chance Full Time
    Bet: X2
    Odds: 1.66
Total Odds zinakuwa 3.89
cc Allan248
 
nijulipue kidogo nitoe machungu ya jana.
... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.

Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....

  • Saturday 25. June 13:00
    Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
    Double Chance Full Time
    Bet: 1X
    Odds: 1.42
  • Saturday 25. June 13:00
    Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.65
--------------------------------------
Total Odds = 2.34
 
16:00
Euro Cup
SWITZERLAND vs POLAND
2.54 3.06
2.40
19:00
Euro Cup
WALES vs NORTHERN IRELAND
2.03 3.13
3.15
22:00
Euro Cup
CROATIA vs PORTUGAL 2.47 3.08
2.49
23:59
Copa America
USA vs COLOMBIA
2.54 3.06
2.40
Jamani Biashara Asubuhi...Tuhesabu jioni...vipi hapo....odd za mwanzo ni win(1),,ya pili ni droo(x) na ya kulia ni win (2)
 
please wait...
aaaaa.jpg
 
... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.

Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....

  • Saturday 25. June 13:00
    Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
    Double Chance Full Time
    Bet: 1X
    Odds: 1.42
  • Saturday 25. June 13:00
    Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.65
--------------------------------------
Total Odds = 2.34
nafata tufe au tupge wote bob
 
siku mbaya ni mbaya tuu, jana nmetengeneza od 1.96 nmetupia mkwanja wa kutosha still nikapwaa wakat mwingne bora kujilipua katk odd inayordhsha kuliko kutafuta small increment afu kuliwa stake yoote hapo hapo,
yaaani nmekuwa kama muleviii.....🙂
🙂🙂
 
Daah mkekabet inazingua, nafkiri iko congested hebu iachieni basi wana tutupie kwanza ... watu mko busy mnatupia muda wote!!!! khaaaaa
 
Ngoja upepo upite kwanza. nitaanza kutupia jioni maana hawa waustralia point zao chache ukiwaweka watatu tu mmoja anaharibu.
 
Back
Top Bottom