Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

... mkuu leo zipo nying hadi nachanganyikiwa.

Za mchana (saa 7) ni hizi hapa ....

  • Saturday 25. June 13:00
    Yokohama F Marinos vs FC Tokyo
    Double Chance Full Time
    Bet: 1X
    Odds: 1.42
  • Saturday 25. June 13:00
    Gamba Osaka vs Nagoya Grampus
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.65
--------------------------------------
Total Odds = 2.34


Hahahaha ... kweli betting ni ngumu at times, yani huu mkeka timu zote zimeuchana dk ya 89. Yani mpk dk ya 87 Kanjibah alikuwa ameelekea kibra.
 
Hahahaha ... kweli betting ni ngumu at times, yani huu mkeka timu zote zimeuchana dk ya 89. Yani mpk dk ya 87 Kanjibah alikuwa ameelekea kibra.

Yaan Gamba! Daah!
Ila mimi kwa Yokohama sishangai sana..
 
Yan nilivyo ona hizi odd ilibidi nishangae kwanzwa ila nikaaamuua kufumba macho nikajilipua na mpunga umetiki..... Daaaaaaa.... GG

a9de4d80aa4530bf34cf0aff631bbb55.jpg

Daah, jembe ungetustua wazee wa kujilipua. Hao walijichangaya leo, yan hata icheze barcelona na yanga haiwezi ikawekwa Y odds 6.5. Hongera sana
 
Aaaaha!yaani kucheza corners kuna raha kweli
Poland vs swis
Over 4.5 corners1st half
Au over 5.5 corners1st half
Bet won mapemaa
 
Aaaaha!yaani kucheza corners kuna raha kweli
Poland vs swis
Over 4.5 corners1st half
Au over 5.5 corners1st half
Bet won mapemaa
Mkuu mi nimezuia full time under... naenda kuliwa ***** [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom