Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ahahaha niliwapa 1-3 hapa naomba waongeze 1 tu wasizidishe.Duuuuh ...... Swiss kasawazisha bonge la goliiiiii afu inauma moja moja.....
Ahahaha niliwapa 1-3 hapa naomba waongeze 1 tu wasizidishe.
Nasubria mechi ya Croatia na Wales wote wapate 2-4Hamna goli...
Kweli jembe, mm nimepigwa Mia na hamsini had mda huu. Kesho ndio natatupia tena, maana nikiendelea kucheza nitapanick. Hapa naandaa mechi za kesho.Kaka kama vile naiona Y kwa game ya Croatia na Portugal
PIGA 0-1 GOAL IN THE FIRST HALF UTAKUWA KATIKA SAFE SIDENawaza kuweka 15,000 yani 5000 za siku tatu kuanzia kesho ..zote niwape tu 2+ mechi zote za euro.....
WalesIla sio kizembe hivyo. Buddy na wakusoma okoeni jahazi jamani. Odds mbili tu nitupie 50 ili niamke na Mia kesho. Mm nipeni kazi ya kuchambua za kesho maana leo si mchezo.
Bet lostPoland
Wales
Croatia
Palmeira
Double chance 12
Odds 3.7
Hivi naweza kulupia kwa namba isiyokuwa yangu mkekabet? mpesa yangu iko suspended kwa siku mbili niliswap line.
Naona dalili ya pesa hapa Labda jinamizi limuandame refaWales vs Hungary under 4.5 cards odd 1.74
Portugal vs Croatia under 5.5. Card odd 1.45
Total odds 2.52
Hvi Mkeka wameondoa option ya Both team to score Y ?
Nazima na cm