Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahah hata mie debut yangu nilipigwa za uso

Debut yangu nakumbuka ilikua mwaka jana uefa group stage chelsea alivyopigwa na basel round ya kwanza stamford bridge akanikosesha 150,000 ikanipa mzuka wa kuendelea,,..
 
aisee mzee mwenzangu baharia kama unacheza live tengeneza mkeka wa kulinda mtaji maana hawa sociedad mda wowote togwa litaingia inzi
 
Kama nilivyosema.. Naweka timu moja then natia mzigo wa kutosha.. PSV mchana kanipa 55.. PSG hadi sasa anaongoza 4 nasubiri 48. Hesabu za haraka haraka nalala na 103
 
C.E.O atalifanyia kazi, tuanzishe group yetu ya whatsapp, maana sometimes kuna watu wanapiga mpaka ligi za vietnam na mongolia wakati wengine tunakoroma heheh

Mkuu huko whatsapp mkianzisha mtuambie tutoe namba pm
 
Kama nilivyosema.. Naweka timu moja then natia mzigo wa kutosha.. PSV mchana kanipa 55.. PSG hadi sasa anaongoza 4 nasubiri 48. Hesabu za haraka haraka nalala na 103

ulikua unaweka kilo kila mkeka?
 
Kama nilivyosema.. Naweka timu moja then natia mzigo wa kutosha.. PSV mchana kanipa 55.. PSG hadi sasa anaongoza 4 nasubiri 48. Hesabu za haraka haraka nalala na 103

duh, idea nzuri
 
shkrani zangu ziende kwa hawa jamaa kwa kucheza vizuri bila ya kusababisha red card...tsh 30000 imezaa 32000! about 70000 as a profit in total over this weekend sio mbaya!!!

Genoa 1:2 Napoli
Sassuolo 1:1 Cagliari
Cesena 1:0 Parma
 
Safi mkuu.. Hii ya red card hata mi ntaitafuta. Naona pesa ya bure kabisa unachukua hapo
 
shkrani zangu ziende kwa hawa jamaa kwa kucheza vizuri bila ya kusababisha red card...tsh 30000 imezaa 32000! about 70000 as a profit in total over this weekend sio mbaya!!!

Genoa 1:2 Napoli
Sassuolo 1:1 Cagliari
Cesena 1:0 Parma

mkuu elf30 imezaa el32 au elf3 imezaa elf32?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…